PATA FURSA YA KUONA KILICHOMO KWENYE NYUMBA YA MAKUMBUSHO YA CRISTIANO RONALDO.
Hivi karibuni mshambuliaji Cristiano Ronaldo aliizindua tovuti yake mpya
lakini pia Ronaldo amefungua nyumba ya makumbusho inayoonshe matukio mbali
mbali
Jumba hilo la makumbusho limepewa jina la ‘CR7 Museum’ na lipo kwao kwenye
kisiwa cha Madeira
0 comments: