PICHA: BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI, LAPINDUKA HUKO MTO WAMI ASUBUHI HII.
Mmoja wa majeruhi akiwa hajui la kufanya baada ya basi hilo alilokuwa akisafiria kupata ajali leo asubuhi.
Blogu hii inawapa pole majeruhi wote na kuwatakia nafuu ya haraka.
0 comments: