PICHA:KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IGUNGA MKOANI TABORA JANA JIONI KUANZA ZIARA WILAYANI HUMO.

Pichani
Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora,Ndugu Hassani Wakasubi
akimpokea mgeni wake,Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na
Ujumbe wake alipowasili jioni ya leo katika kijiji cha Makomelo wilayani
Igunga mkoani Tabora kwa ziara ya siku 10,ya Kuimarisha uhai wa
chama,kukagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya
CCM,Kukagua maandalizi ya uchaguzi za serikali za mitaa pamoja na
kusikiliza kero za Wananchi.

Ndugu
Kinana akisalimiana na Wananchi mbalimbali waliofika kumpokea mara baada
ya kuwasili katika kijiji cha Makomelo mapema leo jioni.

Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitazama ngoma ya kiasili
iliondaliwa wilayani Igunga wakati wa mapokezi ya Ndugu Kinana, ambaye
ameambatana na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi CCM Taifa,Nape Nnauye na
viongozi mbalimbali wa chama hicho,mara baada ku kuwasili kijiji cha
Makomelo Wilayani hummo jioni ya leo.

Mkuu wa
Mkoa wa Tabora,Mh.Fatma Mwasa akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kijiji cha Makomelo Wilayani
Igunga mkoani humo tayari kwa kuanza ziara ya siku 10 ya Kuimarisha uhai
wa chama,kukagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani
ya CCM,Kukagua maandalizi ya uchaguzi za serikali za mitaa pamoja na
kusikiliza kero za Wananchi.

Ndugu Kinana akipokelewa na vijana wa Green Gard tayari kwa kuvalishwa skafu na kukaribishwa wilayani humo.

Mkuu wa
Mkoa wa Tabora,Mh.Fatma Mwasa akiwa sambamba na viongozi mbalimbali wa
CCM Wilaya na Mkoa wakisubiri kumpokea Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Makomelo Wilayani Igunga mkoani
humo tayari kwa kuanza ziara ya siku 10 ya Kuimarisha uhai wa
chama,kukagua miradi ya Maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya
CCM,Kukagua maandalizi ya uchaguzi za serikali za mitaa pamoja na
kusikiliza kero za Wananchi.


Baadhi
ya wananchi mbalimbali waliojitokeza kumpokea Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu
Kinana na Ujumbe wake alipowasili jioni ya leo Wilayani Igunga mkoani
Tabora.

Sehemu
ya magari ya Wenyeji waliofika kumpokea Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana
jioni ya leo katika kijiji cha Makomelo,wilayani Igunga mkoani Tabora
jioni ya leo.

Ndugu Kinana akivalishwa skafu

Ndugu
Kinana na Ujumbe wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wilayani humo,kwa
ajili ya kikao kupata taarifa ya maendeleo ya wilaya na mkoa sambamba na
hali ya siasa.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Kamati ya Siasa na Mkoa wakiwa kwenye kikao hicho,ambapo Ndugu Kinana pia alizungumza nao.
PICHA NA MICHUZIJR-MICHUZI MEDIA-IGUNGA TABORA
0 comments: