PICHA KIBAO ZIPO HAPA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA ANANDE NNKO MERU,ARUSHA
MBUNGE WA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI MHE. JOSHUA NASSARI NA MKEWE
ANANDE NKO WAKIWA TAYARI KUINGIA KATIKA KANISA LA KIPENTEKOSTE LA
KILINGA, MERU - ARUSHA
WENYEJI WA SHUGHULI HIYO WAKIWA WAMEPENDEZA KATIKA VAZI LA SUTI
MH. JOSHUA NASSARI AKIWA AMEINGIA KANISANI
BI. HARUSI ANANDE NNKO AKIJONGEA KANISANI
MAHARUSI WAKIVALISHANA PETE
MAHARUSI WAKISAINI VYETI VYAO VYA NDOA
WAZAZI WA MAHARUSI
MBUNGE JOSHUA NASSARI NA MKEWE ANANDE NNKO WAKISHIKILIA ZAWADI YAO YA
NG'OMBE ILIYOTOLEWA NA WAUMINI WA KANISA LA KILINGA AMBAKO IBADA YA NDOA
ILIFANYIKA
BABA MZAZI WA JOSHUA NASSARI, MZEE SAMWEL NASSARI AKIWAPONGEZA MAHARUSI
MAHARUSI WAKIAGA NA KUELEKEA KATIKA VIWANJA VYA USA RIVER ACADEMY
MSAFARA UKIANZA
SWAGGZ
KAMA KAWA MAHARUSI WAKIWAKILISHA
MADEREVA WA BODABODA NAO NDANI YA MSAFARA
HAWA PIA WAKISINDIKIZA KWA MIGUU
source:mamon'go
0 comments: