huyu ndiye mtoto bilionea ana umri wa miaka 4 tu!!!
Emmanuel Karume ni mtoto wa kiongozi wa kisiasa wa zamani ambaye kwa sasa ni marehemu
James Njenga Karume,pia alikuwa mfanya biashara maarufu kando na siasa alifariki mwaka 2012 kutokana na kansa.taarifa zinasema kuw mwanae mwenye miaka 4 sasa atakuwa mrithi wa mali za baba yake alizochuma enzi za uhai wake katika siasa na biashara mbalimbali.Baba yake alikuwa na hisa katika Kiambu General
Transport Agency Ltd, asilimia 25 ya hisa Heri Limited;alikuwa na hisa kamili za Majoreni Agencies Limited ,Ngorongo Tea
Factory Limited;
- Asilimia 12.5 hisa katika Kenya Wine Agencies Limited na hisa katika makampuni yafuatayo : Jacaranda Hotel Limited Karume Investments Limited;
- Kabete Distributors Limited; Cianda Estates Limited; na Forest Road
Flats Limited.
Emmanuel atarithi mali hizo baada ya kufikia umri wa mmtu mzima na atakuwa mmoja wa vijana matajiri wa kenya kama Chris Kirubi, na Jimna Mbaru na wengineo.
source:
http://entadaplace.com
0 comments: