Picha namna Brazil ilivyoichapa Croatia bao 3-1

article-2656584-1EB6072F00000578-170_634x304neymar akifunga penalt ya bao la pili
Neymar the Redeemer: Brazil's No 10 strikes a pose after his second goal and looks like the famous statue in RioNeymar akishangilia moja ya magoli aliyofunga jana

A big hug from Big Phil: Luiz Felipe Scolari embraces Neymar following his equaliser for Brazilkocha wa Brazil akimkumbatia Neymar baada ya goli la kusawazisha
Running the show: Neymar (left) is jubilant after scoring Brazil's first goal of the World CupNeymar akishangilia bao lake la kwanza
Left foot forward: Neymar rifles in a shot from outside the box which sneaks into the cornerNeymar akipiga shuti ambalo lilizaa goli la kwanza
Unexpected: Marcelo (second right) steers the ball beyond his own keeper Julio Cesarbao la kujifunga la Marcelo
NYOTA aliyebeba matumaini ya Wabrazil wengi, Neymar amefunga mabao mawili usiku huu katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Croatia kwenye mchezo wa ufunguzi wa fainali za kombe la dunia. 
Wenyeji walijifunga mapema dakika ya 7 ya kipindi cha kwanza baada ya Marcelo kuujaza mpira nyavuni katika harakati za kuokoa na kuzua ukimya mkubwa uwanjani kwa mashabiki wa Brazil waliofurika kushuhudia timu yao..
Mambo almanusura yawe mabaya kwa Brazil  wakati Neymar alipomfanyia faulo mbaya kiungo wa Croatia Luka Modric, lakini mwamuzi Yuichi Nishimura alimzawadia kadi ya njano tu.
Baadaye Neymar alifunga bao la kusawazisha kwa shuti la mbali  na aliongeza bao la pili kwa njia ya mkwaju ya penati baada ya mwamuzi kutoa penati yenye utata kufuatia Dehan Lovren kumfanyia  madhambi Fred.
Oscar alihitimisha karamu ya mabao kwa Wabrazil na kutoka na ushindi wa kwanza katika michuano ya mwaka huu inayofanyika katika ardhi yao.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=1982#sthash.VCJql0Gp.dpuf

0 comments: