Shilole aonesha mjengo wake, Fid Q aingia kwenye biashara ya madini
Wakati ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo
Kimara jijini Dar es Salaam, Fid Q anaonesha kuzungusha mkwanja alionao kwenye
biashara ya madini.
Shilole amepost Instagram picha ya nyumba yake iliyopo kwenye hatua ya
mwisho kukamilika na kuandika: Mungu nisaidie nimalizie hii kitu ili watoto
wangu wasije kupata tabu
Naye Fid Q amepost picha inayoonesha madini ya ruby na kuandika: #RubySozite
#NewHustle roll a phat 1 fi ya Nig..!!!”
0 comments: