sababu za Tanzania,Africa Kusini,na Zambia kutumia melody moja nyimbo  za taifa

Huenda ukawa umejiuliza swali hili kwa kipindi kirefu lakini hujawahi kupata jibu. 

Kwanini Tanzania, Afrika Kusini na Zambia zinatumia wimbo wa taifa wenye mMelody 
za wimbo huo ambao kwa Tanzania unaitwa ‘Mungu Ibariki Afrika, zimetoka kwenye 
wimbo uitwao Nkosi Sikelel iAfrika neno la lugha ya Xhosa len.
Wimbo huo ulitungwa mwaka 1897 na Enoch Sontonga, aliyekuwa mwalimu kwenye 
shule ya misheni ya jijini Johannesburg 

Enoch Sontonga

Wimbo huo ulianza kutumika kama wimbo maalum wa hekaheka za ukombozi wa Afrika 
na baadaye kuanza kutumiwa kama nyimbo za taifa za nchi tano barani Afrika, 
zikiwemo Zambia, Tanzania, Namibia na Zimbabwe baada ya kupata uhuru. Zimbabwe na Namibia zimepata nyimbo zingine za taifa. Wimbo huo kwa sasa 
unatumika Tanzania, Zambia na tangu mwaka 1994 kama sehemu ya wimbo wa taifa 
wa Afrika Kusini. Hata hivyo ikumbukwe kuwa Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza kuanza 
kuutumia wimbo huo kama wimbo wa taifa 1961 pale ilipokuwa Tanganyika na 
kuendelea nao baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 Tafsiri ya mashairi ya awali yaliyokuwa kwa lugha Xhosa kwenda Kiswahili 
ilifanya na kundi la watu. Wimbo unaotumiwa na Afrika Kusini hata hivyo ni mchanganyiko wa “Nkosi Sikelel’ 
iAfrika” na “The Call of South Africa” (unaojulikana kwa lugha ya Afrikaan kama “Die 
Stem van Suid Afrika”). 20 April, 1994 ndipo ilipotangazwa kwamba zote Nkosi Sikelel’ iAfrika na Die Stem 
ziwe nyimbo za taifa za Afrika Kusini. Wimbo uliounganishwa ulianza kufanya kazi October

0 comments: