HIZI NI PICHA 8 ZA NDEGE ILIYONUNULIWA NA TAJIRI WA MWENYE MABILIONI YA PESA NA KUIGEUZA NYUMBA YA WAGENI!!
Ndani
ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata
utandawazi,
vumba vina luninga, imesha aanza kuchukwa wageni wa kulala
na ipo karibu na uwanja
wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Nyumba hiyo ya wageni
ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu
na uwanja wa ndege
wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden
Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni
Moja ya chumba katika ndege hiyo
Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
Sehemu ya kupumzikia
0 comments: