TANGAZO- WAUGUZI WALIOHITIMU 2013 WATUME MAOMBI YAO KABLA YA 14 MACHI 2014
JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TANGAZO
Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anapenda kuwatangazia
Wauuguzi wa ngazi ya Astashahada na ngazi ya Stashahada
waliohitimu mafunzo mwaka 2013 wawasilishe maombi ya kupangiwa
vituo vya kazi. Waombaji wanatakiwa kupendekeza maeneo matatu
wanayotaka wapangiwe kazi.Maeneo yenye nafasi za kazi yameainishwaa kwenye tangazo la kazi kwenye tovuti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
(www.moh.go.tz).
Maombi wayawasilishwe kwa
Katibu Mkuu,
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa anuani ya hapa chini kabla ya
tarehe 14 Machi, 2014.
Katibu Mkuu,
Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii,
S.L.P. 9083,
DAR ES SALAAM
0 comments: