OSTAZ JUMA AWAOMBA RADHI WATANZANIA KWA KUMDAHALILISHA PNC ..HIKI NDICHO ALICHOKISEMA
OSTAZ JUMA "NDUGU KWANZA KABISA NAOMBA
NIWAOMBE RADHI KWA YOYE YALIYOTOKEA NA KUBWA ZAIDI NI JUU YA POSTI
AMBAYO ILIKUWEPO HAPA KWENYE ACCOUNTI YANGU, UKWELI NI KWAMBA HAIKUWA
POSTI AMBAYO MIMI BINAFSI NILIIANDIKA, KUNA WATU WENYE NIA MBAYA NA
MIMI WALI-HIKE AKAUNTI YANGU NA KUPOSTI HICHO WALICHOANDIKA.. NAWAOMBA
MNISAMEHE WALE AMBAO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE WATAKUWA WAMEKWAZIKA
NA POSTI HIYO, NASISITIZA KWAMBA HAIKUWA POSTI YANGU NA NDIO MAANA
NILIPOFANIKIWA KUIPATA TENA AKAUNTI YANGU NIMEIFUTA NA KUANDIKA UJUMBE
HUU.... SISI NI WATANZANIA NA NCHI YETU NI YA AMANI NAMI PIA NI MPENDA
AMANI, TUDUMISHE AMANI YETU."
0 comments: