DIAMOND, MADEE, CHEGE NA TEMBA WAFANYA KWELI TAMASHA LA COCA COLA ZOO JANA.
![]() |
Toka kwa mashabiki hadi kwenye stage. |
![]() |
Burudani mwanzo mwisho. |
![]() |
ze nyomi tamashani. |
![]() |
Madee katika stage ni nowma. |
![]() |
Madee na mistari yake akiburudisha mashabiki waliofurika kwa wingi uwanja wa Furahisha Kirumba jijini Mwanza. |
![]() |
Madee. |
![]() |
Mdau wa Coca cola akigawa bilauli kwa mashabiki kwaajili ya mimina mimina za kinywaji chao. |
![]() |
Mimina mimina za Coca cola kwa mashabiki. |
![]() |
Katika stage sasa ni zamu ya Chege Chigunda na Mheshimiwa Temba kukisanukisha kwenye stege la viwanja vya Furahisha jijini Mwanza. |
![]() |
Hatariiiii. |
![]() |
Engo nyingine. |
![]() |
Wanaumeeeee..! |
![]() |
Star wako kwenye stage. |
![]() |
Born2shine na star wako. |
![]() |
Enjoy your drink. |
![]() |
Palikuwa hapatoshi |
0 comments: