Baada ya Adam Kuambiana na Rachel Haule, bongo movie wamepata huu msiba wa tatu usiku huu
Wakati millardayo.com inaendelea kufatilia chanzo na mengine kwa ujumla kuhusu hizi taarifa Wema Sepetu ameandika ‘Kwa mara ya tatu bila kupumzika week tunamzika mwenzetu mwingine George Tyson dah.. sina cha kuongea, RIP Brother, Daah sijui Da Mboni wangu ana hali gani aisee…. pole dada akee Mungu akupe nguvu wewe pamoja na team yote ya The Mboni show, pigo kubwa tena kwa wasanii, tunaisha tu jamani.
Marehemu Rachel Haule katikati
Marehemu Adam Kuambiana
0 comments: