HUYU NDIYE RAIS MASKINI KULIKO WOTE DUNIANI LIFESTYLE YAKE NI NOUMER CHEKI HAPA
huyu ni raisi wa uruguay ambaye ndiye anashikilia rekodi ya rais maskini kuliko wote anapokea mshara wa $12,000 (£7,500) lakini asilimia 90% ya huu mshahara wake anugawa kwa watu kama msaada na anaishi maisha ya kawaida kabisa.
akiwa kwenye makazi yake
hili ndilo gari analomiliki
akiwa kwenye makazi yake pamoja na mbwa wake
0 comments: