Kilimanjaro Music Tour 2014 ilizunduliwa mjini Moshi kwa show kali toka kwa wasanii waliofanya vizuri 2013. Hizi ni baadhi ya picha toka uwanja wa Ushirika ilipofanyika ziara hiyo.

Wakali wa reggae Warriors From The East waliifungua burudani
Wakali wa reggae Warriors From The East waliifungua burudani
Malkia wa mipasho Khadija Kopa jukwaani
Malkia wa mipasho Khadija Kopa jukwaani
IMG_4276
Mkali wa R&B Ben Pol akiwadatisha wakazi wa Moshi
Mkali wa R&B Ben Pol akiwadatisha wakazi wa Moshi
Backstage: Kala Jeremiah na Young D wakiwa na washikaji zao
Backstage: Kala Jeremiah na Young D wakiwa na washikaji zao
Sio kila Young ni Killer
Sio kila Young ni Killer
IMG_4333
Young Killer akiendelea kutoa burufani
Young Killer akiendelea kutoa burufani
Backstage: Jambo Squad
Backstage: Jambo Squad
Kala Jermiah jukwaani
Kala Jermiah jukwaani
IMG_4425
Mashabiki waliojitokeza uwanja wa Ushirika
Mashabiki waliojitokeza uwanja wa Ushirika
Ommy Dimpoz na madansa wake
Ommy Dimpoz na madansa wake
Backstage: Joh Makini, Gnako Wara Wara, Joh Makini, Nikki wa Pili, AY na Mike Mukunza
Backstage: Joh Makini, Gnako Wara Wara, Joh Makini, Nikki wa Pili, AY na Mike Mukunza
Backstage: Joh Makini, Nikki wa Pili, AY na Profesa Jay
Backstage: Joh Makini, Nikki wa Pili, AY na Profesa Jay
Dullah wa EATV akifanya amsha amsha
Dullah wa EATV akifanya amsha amsha
Ommy Dimpoz akilishambulia jukwaa
Ommy Dimpoz akilishambulia jukwaa
IMG_4501
Kipi sijasikia, Profesa Jay
Kipi sijasikia, Profesa Jay
IMG_4545
Mwana FA akiingia jukwaani
Mwana FA akiingia jukwaani
Mmosja ya mashabiki alipata nafasi ya kuimba Yalaiti
Mmosja ya mashabiki alipata nafasi ya kuimba Yalaiti
Mlima Kilimanjaro ukionekana kwa mbali
Mlima Kilimanjaro ukionekana kwa mbali
IMG_4610
GNako Wara Wara
GNako Wara Wara
Weusi wakiwa kazini
Weusi wakiwa kazini
Meneja wa Kili George Kavishe akiwa na Mike Mukunza, Roy na Profesa Jay
Meneja wa Kili George Kavishe akiwa na Mike Mukunza, Roy na Profesa Jay
IMG_4666
Weusi wakiendelea kulishambulia jukwaa
Weusi wakiendelea kulishambulia jukwaa
Mashabiki backstage
Mashabiki backstage
Umati ukidatishwa na show kali
Umati ukidatishwa na show kali
Nay Mitego akionyesha namna ya kuula ujana
Nay Mitego akionyesha namna ya kuula ujana

0 comments: