Hatimaye Picha za harusi ya Kanye na Kim zimeokena INSTAGRAM zicheki hapa
Kwasiku kadhaa baada ya wawili hao kufunga ndoa (PRIVATELY) majarida na
magazeti ya udaku dunia nzima walizisaka sana picha za harusi hii ya
mastaa hawa bila mafanikiao...Hatimaye Jana usiku mwanamama Kim Kupitia
ukurasa wake wa INSTAGRAM alitupia hizi kadhaa za harusi yao na kufanya
wadaku kama sisi kushare na wewe mdau.
0 comments: