Kocha Pep Guardiola amefunga ndoa na huyu mpenzi wake
Hatimaye kocha wa klabu bingwa ya Ujerumani Bayern Munich, Pep Guardiola amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Cristina Serra May 29 2014 ikiwa ni ndoa ya kawaida kabisa bila shamrashamra zozote.
Ndoa imefungwa kiserikali huko Matadepera,
Catalonia Hispainia ambapo Pep na mchumba wake Cristina pamoja na watoto
wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha uhusiano
wao na picha zilizopatikana ni hizi hapa chini.
Guardiola
mwenye shati la kaki na mkewe Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja
koti jekundu wakisindikizwa na ndugu zao kwenda kufunga ndoa.
0 comments: