HUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE ALIYEFARIKI PAMOJA NA WASIFU WAKE (R.I.P)
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia asubuhi hii. Marehemu amepoteza maisha mara baada ya kujifungua.Alijifungua kwa operation mtoto akafariki hapohapo,na yeye akalazwa ICU,ila leo asubuhi ndio akafariki..
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
============================== ==========================
Rachel Haule
Akiwa mmoja wa waigizaji wa kike ndani ya bongo movies na mwenye umbo lenye mvuto. Rachel Haule ama "Recho" kama anavyofahamika na mashabiki wake ni mwigizaji aliyekuja kwenye tasnia ya filamu miaka ya karibuni na kuweza kujipatia umaarufu kupitia filamu mbalimabli alizoigiza.
Early life
Rachel alizaliwa mkoani Ruvuma kwenye wilaya ya Songea na kupata elimu yake katika Shule ya msing Luida iliyopo wilayani hukohoko Songea. Baada ya Muda alihamia Dar essalaam na kusoma shule ya sekondari ya Baptist iliyopo magomeni na baadaye kwenda kumalizia elimu yake ya sekondari katika Hanga. Baada ya hapo Rachel alijiunga na chuo cha magogoni kilichopo jijini Dar es salaam katika kujiendeleza zaidi kielimu.
Career
Historia ya Rachel katika maigizo inaanza rasmi mwaka 2009 katika kikundi cha maigizo cha mburahati. Baada ya kukaa kwenye kikundi hicho ndipo alipojiingiza rasmi kwenye uigizaji wa filamu.
Rachel mara nyingi amekuwa akizungumziwa na vyombo mbalimbali vya habari hasa kutokana na mavazi yake. Hupendelea kuvaa nguo fupi ambazo huonesha vizuri umbo lake na mara nyingi amekuwa ni kivutio kwa watu wengi anapoonekana kwenye matukio mbalimbali kwani wengi hutugemea kumuoa akiwa ndani ya nguo fupi.
Katika moja ya interviews zake Rachel aliwahi kusema kuwa hupendelea kuvaa nguo fupi kwani humfanya ajisikie huru na amani pindi anapofanya shughuli zake.
Chanzo:bongomovies.

0 comments: