PICHA:HII NDIO TATU YA COUNTRY BOY ALIYOJICHORA HIVI KARIBUNI NAKUUNGANA NA WASANII WENGINE KAMA DIAMOND NA JUX
Mzee wa kuwanyatia kwa nyuma a.k.a Country Boy, licha ya kudai kuwa
amelichafua beat la "Watch me" kwa mistari na sio michoro ya tattoo,
lakini kwasasa anaonekana akiendelea kuchafua mwili wake kwa michoro
hiyo ya tatoo. Kwasasa Country amechafua mkono wake wa kulia kwa tattoo
inayoonyesha majina ya familia yake , akiwemo mama yake na kaka na dada
zake, lakwake mwenyewe na kudai kuwa ni kwasababu familia ndio kitu cha
kwanza katika maisha yake.
0 comments: