PICHA:KINANA AZURU NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIMWA, IRINGA
Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, leo jioni. Wengine ni watoto wa marehemu Mgimwa, Stanisla Mgimwa, na Rozalina Mgimwa.
Kinana akizungumza na familia huyo ya marehemu Mgimwa. Wapili kushoto ni Johakim Mgimwa
Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo
Kinana akiaga
Mmoja wa wanafamilia akilia Kinana alipotembelea familia hiyo ya Mgimwa
Nyumbani kwa marehemu Mgimwa
Kinana akipokea saluti ya Kijana wa CCM, alipowasili Ifunda, Iringa Vijijini kabla ya safari ya kwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca
SOURCE:theNkoromo Blog
0 comments: