PICHA:SHEREHE ZA KILELE CHA MIAKA 37 YA CCM ZILIVYOIFUNIKA MBEYA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika 
Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kuwaongoza 
wana-CCM katika kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya CCM leo
 
 Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi waliofurika
katika Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya alipoingia Uwanjani
 huku akiwa na Mwenyekiji wake, Katibu Mkuu wa CCM, Abdurlahman Kinana

 Hii ndiyo CCM, Rais Jakaya Kikwete akisema, huku
akionyesha alama ya CCM ya jembe na nyundo ambayo
 aliichukua kwa mmoja wa mashabiki wa CCM walioingia nayo Uwanjani

Vijana wa CCM wakicheza gwaride la ukakamavu mbele
ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete wakati a sherehe hizo.

 Vijana wa CCM wakicheza halaiki
 Vijana wa Umri wa miaka 37, wakirusha njia hewani kila mmoja,
kuashiria CCM ilivyofanikiwa kujenga amanai na utulivu Tanzania
katika uhai wake wa miaka 37 hadi sasa, wakati wa sherehe hizo

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Kikwete kuhutubia hadhara
 Rais Jakaya Kikwete akihutubia
 Wasanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya waliojiunga na CCM, leo wakishangilia baada ya kutambulishwa na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye kwenye sherehe hizo
Manii wa filam, JB akizungumza baada ya yeye na wenzake kukaribishwa na Nape
 Wasanii wa Filam na muziki wa kizazi kipya wakiselebuka baada
ya kutangazwa kuwa watapewa kadi za CCM na Mwenyekiti wa
CCM, Rais jakaya Kikwete kwenye sherehe hizo

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akiungana na wasanii waliokuwa wakicheza ngoma ya kinyakyusa wakati wa sherehe hizo

 Nape na Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda wakicheza
 muziki wa hamasa uliokuwa unapigwa na TOT wakati wa sherehe hizo.

 Khahija Kopa akituzwa na mashabiki alipotumbuiza katika sherehe hiyo akiwa na TOT
Kinana akisoma toleo maalum la gazeti la Mzalendo wakati akiwa kwenye sherehe hizo
 Ofisa wa Uhuru Publications Limited, akiwagawia magazeti la Mzalendo wasanii
 Wasanii wakisoma Mzalendo

Banda la UHURU/Mzalendo katika viwanja vya Sokoine mjini Mbeya
SOURCE:ccm blog

0 comments: