PICHA:duu!!!!! hii kali ya mwaka picha namna sink za uwanja wa taifa za kuoshea mikono zilivyogeuka sehemu za kukojolea
Hizi
ni picha ambazo zimepigwa zikionyesha ndugu zetu hao wakijisaidia haja
ndogo kwenye sink mahali ambako baada ya kujisaidia unatakiwa kunawa
mikono,kwa maelezo ya mpigaji wa picha hizi anadai vyoo hivi ni vya
Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
SOURCE:milard ayo
0 comments: