PICHA:MATEMBEZI YA MSHIKAMAO KUADHIMISHA MIAKA 37 YA CCM YAFANA JIJINI MBEYA
akiwasili eneo la Soweto kuongoza matembezi
ya mshikamano ya miaka 37 ya CCM, yaliyofanyika
leo asubuhi mjini Mbeya.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akitangaza
kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete eneo la Soweto
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipatiwa maelezo na
Nape namna matembezi yatakavyoanza
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete
akiwapungiamikono wananchi kabla ya matembezi kuanza
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akiwapungia mkono
wananchi matembezi yalipoanza eneo la Soweto. Wengine
kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Mbeya Godfrey Zambi
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete
akiongoza matembezi hayo huku akiwa na
watoto ambao aliwateua kutembea nao baada ya kuwaona eneo la Soweto
"Haya Simameni Hapa tutembee wote"
Rais Jakaya Kikwete akiwaambia watoto hao kabla ya kuanza matembezi
"Vipi Mmechoka", Rais Kikwete akiwauliza watoto,
lakini wakasema hawajachoka ambapo walitembe hadi
mwisho umbali wa kilometa tano.
sourc:ccm blog
0 comments: