hizi ndizo picha za vituo vya mabasi Dubai vyenye AC noumer kweli cheki hapa
Dubai
ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni
sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu
vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa.
Ni sehemu ambayo pia unaambiwa ina usalama mkubwa duniani, tulikwenda
club tukatoka saa tisa na tukatembea kwa mguu mpaka tulipokua
tumefikia.
January 2014 kupitia Dubai 1 TV, serikali ya nchi hii imetangaza
kuweka AC kwenye vituo vyote vya basi ili kusaidia wasafiri mbalimbali
kwenye kipindi cha majira ya joto, kipindi ambacho kinasifika kwa joto
kubwa.
Huu ni muonekano wa nyuma wa vituo vyenyewe na vilivyowekewa AC.
source/credit to:milard ayo
0 comments: