PICHA MZEE MWENYE WATOO 70 NA WAKE 15 KATIKA PICHA YA PAMOJA
Lukata Singu
na baadhi ya wake, watoto na wajukuu zake katika picha ya pamoja. Picha
Elias Msuya Mzee Lukata Singu (65) anayeishi katika Kijiji cha Nyamwage
wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani, anajivunia kuwa na familia kubwa yenye
wake wengi wanaofikia 15 na watoto zaidi ya 70.kijijini hapo ambapo
amejenga boma analoishi na baadhi ya wake, watoto na wajukuu.
0 comments: