picha za night club mpya iringa ya le-parte .
Iringa imepata Club mpya na ya
kisasa ambayo kwa taarifa za awali nimeambiwa February 14 siku ya
Valentine ndiyo uzinduzi wake.
Club
hiyo ambayo ina vitu vingi vya burudani kwa wateja wake kukufanya usiwe
bored ambapo kuna flat screen za kutosha na nimeambiwa hadi toilet pia
kuna sehemu za kuvutia sigara, varanda ya juu, sehemu saba (4) za baa,
jiko na TV zaidi ya 9 zote kubwa zilifungwa chanel mbalimbali kwa wateja
wake.
source:milard ayo
0 comments: