PICHA 5:ZA MAMA YAKE RAMBO MWENYE MIAKA 92 LKN BADO YUKO FITI KINOMA:

 

rambo 4
Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji  Sylvester Stallone aka Rambo
ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee.
Mama huyu mwenye miaka 92 amefanyiwa Upasuaji Wa Kubadili Sura sura na kuwa na muonekano wenye mvuto zaidi.

rambo 2rambo 3rambo 4rambo

0 comments: