Taarifa ambazo mtandao huu umezipata hivi punde jina la Emmanuel Okwi halijaidhinishwa kwenye usajili wa klabu ya Yanga. Kwa maana hiyo Okwi hataruhusiwa kucheza
raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom mpaka sakata lake la usajili
kutoka klabu ya Etoile du Sahel litakapotafutiwa ufumbuzi. credit :shafih dauda
0 comments: