Picha: Lady Jaydee auonesha mkoko wake mpya
Inavyoonekana mwaka 2013 haukua mbaya sana kwa Anaconda Lady Jaydee, ambaye ameuanza
mwaka mpya 2014 vizuri kwa kuonesha matunda ya mwaka uliopita.
Kwanza wiki iliyopita ukurasa wake wa facebook ulifikisha likes zaidi ya 200,000
na kama haitoshi muda mfupi uliopita hit maker wa ‘Yahaya’ ameutambulisha mkoko
wake mpya.
‘My new ride. God I thank you’-Jide.
Ukipishana na Jide akiwa anaendesha Range Rover moja matata usishtuke, kupitia
facebook yake muda mfupi uliopita amepost picha ya gari lake hilo jipya na kuandika
‘My new ride. God I thank you’.
0 comments: