Picha 7 za kitakachoonekana ktk video mpya ya Weusi ‘nje ya box’ manka wa kichaga
Unaambiwa
Ijumaa hii ya January 24 2014 ndio video hii itawafikia mamilioni ya
Watanzania manake ndio siku ya kuachiwa kwake ikiwa imefanywa na mkali
kutoka 87.9 Arusha >> Nisher.
Mwezi wa kwanza wa 2014 tayari
umemilikiwa na video za wasanii kama Diamond, Chege, Madee, Makomando na
sasa wanafata Weusi na ‘nje ya box’ ambayo hizi ni baadhi tu ya picha
za kitakachoonekana ndani yake.
0 comments: