Picha: P-Square wanunua mijengo miwili ya kifahari Atlanta, Marekani


 
Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wanazidi kuwekeza kwa kununua mijengo 
ya kifahari nchini Marekani. Baada ya mwaka jana kununua nyumba huko San Francisco, 
mapacha hao sasa wamenunua nyumba mbili za kifahari kwenye mjini wa Buckhead uliopo 
jijini Atlanda, Georgia nchini Marekani.

Peter ameshare picha za nyumba hizo kwenye Instagram ambapo kwenye picha moja 
ameandika: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA. Thank u Lord.”
Hizi ni picha zingine.

0 comments: