Hizi ndio taarifa rasmi za Rais wa Barcelona kujiuzulu kisa Neymar? ziko hapa
Uamuzi huu umekuja baada ya Mahakama kuamuru uchunguzi ufanyike kuhusu usajili wa mchezaji raia wa Brazil ambae alisajiliwa June 2013 kwa pound milioni 49 akitokea Santos, uchunguzi ufanyike kwa sababu ya lalamiko kwamba pesa iliyotumika kwa uhamisho huo ilikua zaidi ya €57m.
Akielezea kujiuzulu kwake Rosell amesema kwa kipindi kirefu yeye na familia yake wamekua na wakati mgumu kutokana na yaliyotokea ndio maana anataka kuwa huru huku akisisitiza kwamba kusainiwa kwa Neymar kuko sahihi.
source: Millard Ayo
0 comments: