MAKALA:JOSE MOURINHO NA VIBONDE WAKE MAN UNITED: USHINDI WA 1 NA 100 KATIKA MECHI DHIDI YA MASHETANI WEKUNDU


Ushindi wa kwanza wa Jose Mourinho katika premier league ulikuja katika mchezo dhidi ya Manchester United shukrani kwa goli la Eidur Gudjohnsen aliloifungia Chelsea mwezi August 2004. 

Na baada ya kushinda mechi 14 tangu msimu mpya uanze jana jumapili katika dimba lile lile alioshinda mchezo wa kwanza, Jose Mourinho aliiongoza Chelsea kuifumua Manchester United 3-1 na kufikisha ushindi wa 15 katika ligi msimu huu na ushindi wa mechi 100 tangu alipoanza kufundisha soka nchini England. 
Mechi ya ushindi wa kwanza wa Mourinho katika premier league
Kwa ushindi wa jana Mourinho ameungana na makocha Sir Alex Ferguson, Wenger, 

THE 100 CLUB

MANAGERPREMIER LEAGUE WINS
Sir Alex Ferguson528
Arsene Wenger383
Harry Redknapp231
David Moyes184
Rafael Benitez141
Martin O'Neill130
Sam Allardyce129
Gerard Houllier122
Kevin Keegan116
Kenny Dalglish 115
David O'Leary112
Alan Curbishley108
Mark Hughes102
George Graham 101
Jose Mourinho 100

0 comments: