HUWEZI AMINI...KAMA HUYU NDO MAMA WA RAIS WA MALAWI...CHEKI RAIS ALIVYO MTEMBELEA MAMA YAKE KIJIJINI

Rais wa Malawi alipomtembelea mama yake kijijini.. Tumjaji vipi huyu kiongozi ..
!! Ni mpumbavu kutopajenga kwao..? Au ni mtendaji kazi muaminifu kwa taifa lake..??

0 comments: