Hizi ndo picha za Ghorofa ya Gms Kariakoo iliyowaka Moto ambapo ofisi za kampuni kubwa ya usambazi ya mamu zipo.

Taarifa
za awali amabzo hazijathibitishwa rasmi lakini zinadai kuwa kuungua kwa
ghrofa hili kumesababishwa na short ya umeme kwa sababu sehemu
kunakowaka moto kuna transformer,millardayo.com inaendelea kufatilia
taarifa hizi.Ghorofa hili mpaka sasa hivi bado linaendelea kuwaka.

Ghorofa
hili Lipo maeneo ya Kamata mkabala na Bavaria ni jengo la Gms,Muda
uliaoanza kuwaka ni saa 8 mchana mpaka sasa ni zaidi ya saa1 moto
unaendelea kuwaka.
source:milard ayo
0 comments: