PICHA:YALIVYOKUWA MAZISHI YA MSANII WA KUNDI LA UIGIZAJI KOMEDI LA FUTUHI MZEE DUDE LEO JIJINI MWANZA.
Awali kabla sala maalum ilifanyika. |
Wadau wa tasnia ya habari, wakiwemo waburudishaji wameshiriki ibada na mazishi ya Mzee Dude. |
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto al maarufu kwa jina la Mzee Dude ukiondoshwa nyumbani kwake kuelekea malaloni. |
Marafiki ndugu jamaa wote wamejitokeza hapa kumsindikiza mpendwa wao. |
Wananchi wakishiriki mazishi ya aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto al maarufu kwa jina la Mzee Dude |
Katika mazishi hayo Beat Agenda iliwakilishwa naye DVJ Bavon (mwenye skafu na kofia kushoto). |
Hatua ya mwisho. |
Dj John Lyatow wa Club Villa akiwa na wadau wengine walioifahamu kazi ya marehemu. |
Baadhi ya watoto wa marehemu wakijumuika na wajukuu na marafiki wengine wa marehemu katika sala ya kuhitimisha maziko kifamilia.credit:g sengo |
0 comments: