picha Birdman aonyesha choo chake kilichotengenezwa na dhahabu
Birdman boss wa record label ya YMCMB ambaye mara nyingi huwa anajisifia kwa matumizi yake makubwa ya pesa kwenye vitu luxury, ameendeleza hivyo vitendo vya kufanya matumizi makubwa ya pesa.Hivi karibuni ame-share picha ya choo chake ambacho kime-kuwa covered na material ya dhahabu pande zote.
Mfuniko wake na sehemu ya juu ya choo hicho ni dhahabu tupu na sehemu nyingine yote hautaweza kukiona hicho choo kwasababu kimefunikwa na dhahabu.
Gharama yake inakadiriwa ni dola millioni moja.
source:milard ayo
0 comments: