huyu ndIye msanii maarufu wa kundi la futuhi aliyefariki dunia (R.I.P)
SOURCE:JAMII FORUM
Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.
Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza
0 comments: