PICHA:PRODUCER AGINGWA NA GARI AKIWA AMELALA NA KUMSABABISHIA MAJERUHI:
Producer Dupy |
Producer
wa UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na
kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo
tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARI ILIVYO ENEO LA TUKIO
0 comments: