PICHA:BAADA YA BARCELONA SASA REAL MADRID NAO KUUFANYIA MATENGENEZO MAKUBWA UWANJA WAO WA SANTIAGO BERNABEU - KUINGIZA WATU 90,000 UKIKAMILIKA
Raisi
wa Real Madrid Florentino Perez jana alionyesha rasmi ramani mpya ya
uwanja wa Santiago Bernabeu utakavyokuwa baada ya kufanyiwa marekebisho. Uwanja huo ambao ni mmoja wa miongoni mwa viwanja bora duniani
unatarajiwa kuanza matengenezo hivi karibuni na unatarajiwa kukamilika
mwishoni mwa 2017.
Perez
amesema matengenezo hayo yatakuwa yakisitishwa kila wakati ambapo timu
itakuwa ina mchezo wa nyumbani, kwa maana hiyo Madrid wataendelea
kuutumia Santiago Bernebeu katika kipindi chote hiki cha matengenezo.
0 comments: