mourinho amjibu Aserne Wenger kuhusu Juan Mata

 
Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho amemjibu meneja wa Arsenal, Arsene Wenger kufuatia 
malalamiko yake kuhusiana na  uhamisho wa kiungo Juan Mata aliyejiunga na Manchester 
United kwamba hayakuwa 

Wenger anadai Chelsea wamefanya kusudi kumuuza Mata United kwa sababu wao Chelsea 
wameshacheza na United mara zote mbili huku Arsenal, City, Liverpool na Everton 
wanaofukuzana na Chelsea hawajacheza mchezo wa marudiano na Chelsea, hivyo anaona 
hatua hiyo ni kuimarisha kikosi cha Man United ili kitoe upinzani kwa timu hizo 
ikiwemo Arsenal, hoja ambayo hata Meneja wa Manchester City ameiunga mkono.
 
"Wenger complaining is normal because he always does, If Wenger 
sells Özil to Man United, 
I will be very happy because he’s selling a very important player. 
 So normally, he should be very happy that Chelsea sold a player 
like Juan Mata. But I think 
it’s also a bit of his nature. We have to accept the way he is.  

But when he says that this is not fair, I think what is not fair is 
that his team always 
has the best days to play. Always. When you go to the fixtures this 
season, it’s never fair 
because they always get the right to rest and the right time to play. 
That’s not fair, 
 alisema Mourinho."

0 comments: