PICHA:MAANDALIZI SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM YAIVA MBEYA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki
kupalilia katika shamba la Mage Kolimwa (wapili kulia),
katika Kijiji cha Mlimanyoka, Kata ya Nsalanga, wilala ya
Mbeya mjini. Kinana alifika kumsaidia mkulima huyo ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM, inayofanyika
Kitaifa Jumapili hii mjini Mbeya.
SOURCE:ccmblog
0 comments: