KAMA ULIPITWA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA HARUSI YA H.BABA NA FLORA MVUNGI
H Baba na mkewe Flora Mvungi katika pozi la siku ya sendoff ambayo ilifuatiwa na harusi ya kupendeza.. |
"Kula mpenzi" Ni kauli ya Flora Mvungi ilisikika wakati akimlisha epo H. Baba kiashiria kuwa kamtambua ndani ya mamia ya wageni walioalikwa kwenye sendoff paty, kuwa ndiye chaguo la moyo wake.... |
Flora akimnywesha mumewe kinywaji cha kwanza mara baada ya ndoa kufungwa. |
H Baba akisaini kitabu cha ndoa. |
Flora naye akisaini kitabu cha ndoa. |
Baada
ya kuvuka mito,milima na mabonde hatimaye wasanii wa filamu na muziki
Bongo Hamis Ramadhan Baba jina la jukwaa akifahamika kama ‘H. Baba‘ na
bi mdada kutoka Bongo Movie Flora Mvungi weekend hii waliamua wakate
vilimi vya watu wanaongea mjini na kufanikiwa kutimiza ahadi yao ya
kufunga ndoa .
0 comments: